Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara

Watumishi wa Umma ambao wanachukua uamuzi wa kupeleka mashauri yao CMA wanachokifanya ni sahihi?

SI SAHIHI: Serikali imeweka mipaka, Watumishi wa umma wote kwa sasa wanatakiwa kushughulikiwa na Tume ya Utumishi wa Umma, kabla ya kwenda CMA.

Wajibu wa Tume ya Utumishi wa Umma ni nini?

Tume ya Utumishi wa Umma ina wajibu wa kuhakikisha kwamba kunakuwepo na Utawala Bora katika usimamizi na uendeshaji wa Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma ili uweze kutoa matokeo yenye tija na huduma bora inayotarajiwa na wananchi.

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.