Ukaguzi unaofanywa na Tume una umuhimu gani?
Ukaguzi unaofanywa na Tume una umuhimu gani?
-
- Kurekebisha kasoro za kiutendaji zilizobainishwa wakati wa Ukaguzi ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi;
- Kuiwezesha Serikali kufahamu hali ya Utumishi wa Umma nchini ambayo huisaidia Serikali katika kupanga mipango yake inayohusu masuala ya Rasilimali Watu;
- Kuisaidia Tume kutoa mapendekezo ya kuboresha Sera, Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma; na
Kuleta ulinganifu (uniformity) katika kutafsiri Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utumishi wa Umma