MAFUNZO YA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA
MAFUNZO YA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA
19 Sep, 2025
07:00AM - 15:30
Morena Hotel - Morogoro
secretary@psc.go.tz
Picha ya Kumbukumbu ya Makamishna wa Tume wakiwa pamoja na Naibu Katibu Mkuu - Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Mrope Daudi (aliopo katikati Pichani) aliyekuwa Mgeni wa Heshima katika Mafunzo yao yaliyofanyika Hotel ya Morena, Manispaa ya Morogoro.
