Fedha na Hesabu
Malengo. Kutoa usimamizi bora wa fedha, udhibiti wa bajeti na huduma za uhasibu
kwa Tume
Kitengo hiki hufanya shughuli zifuatazo;-
Mishahara
• Maandalizi na malipo ya mishahara na makato ya kisheria.
• Usimamizi wa mishahara.
• Kutunza kumbukumbu za fedha.
• Kutayarisha Taarfa za Mishahara.
Ofisi ya Fedha na Mapato (Cash office and Revenue)
• Kuwasilisha orodha ya Hati za malipo Hazina.
• Kuweka benki fedha taslimu na hundi.
• Maandalizi ya ripoti ya kila mwezi.
• Malipo ya fedha taslimu/hundi kwa wafanyakazi/wateja (watoa huduma).
• Kukusanya Hati za malipo zilizolipwa.
• Utunzaji wa kitabu cha fedha.
• Kuweka na kudhibiti fedha ndogo ndogo.
• Utunzaji wa rejista ya masurufu.
• Kulinda hati zote za malipo.
• Kutayarisha za mapato.
• Ukusanyaji wa mapato yote.
• Kusimamia mapato kulingana na kanuni na miongozo
Hesabu za Mwisho
• Kutayarisha stakabathi na taarifa za malipo.
• Kuidhinisha malipo kulingana na sheria na kanuni za fedha.
• Kutayarisha na kuwasilisha taarifa ya madeni ya Taasisi Hazina.
• Kutayarisha majibu ya mapendekezo na Maagizo ya PAC.
• Kuandaa majibu ya taarifa za CAG.
• Kuratibu Idara za PSC katika kujibu hoja za ukaguzi wa ndani na CAG
• Kuandaa bajeti ya mapato.
Ukaguzi wa awali
• Kuhakikisha kuwa kuna nyaraka zinazofaa ili kusaidia hati za malipo, ikijumuisha
Uidhinishaji kulingana na Kanuni za Fedha.
• Kuhakikisha kuwa malipo yamezingatia sheria, kanuni na miongozo mbalimbali ya
fedha.
• Kujibu hoja zote za Ukaguzi zilizoulizwa katika mwaka wa fedha uliopita.
Waandishi wa Hati za malipo
• Maandalizi ya hati ya malipo.
• Uandishi wa hati ya malipo kwenye mfumo wa MUSE
• Kupokea na kushughulikia malipo na madai yaliyoidhinishwa.
KITENGO CHA FEDHA NA UHASIBU