Rufaa na Malalamiko
Rufaa na Malalamiko
MAJUKUMU YA MSINGI YA IDARA YA RUFAA NA MALALAMIKO
- Kushughulikia rufaa na malalamiko yanayowasilishwa na watumishi wa Umma wasioridhishwa na maamuzi ya Waajiri, Mamlaka za Ajira na Mamlaka za Nidhamu.
- Kuandaa taarifa za utekelezaji wa majukumu yake kwa robo mwaka na mwaka na kuziwasilisha Kitengo cha Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini.
- Kuwasilisha vielelezo vya Rufaa na Malalamiko yaliyowasilishwa IKULU kupinga maamuzi ya Tume.
- Kuwaita mbele ya Tume na kuwahoji Watendaji Wakuu katika Utumishi wa Umma wanaoshindwa kutekeleza maagizo ya Tume kuhusu rufaa na malalamiko ya Watumishi wa Umma.