Dira,Dhima na Maadili
Dira,Dhima na Maadili
DIRA
Kuwa na Utumishi wa Umma wenye tija, haki na uwajibikaji
DHIMA
Kusimamia na kuhakikisha kwamba Waajiri, Waajiriwa, Mamlaka za Ajira na Mamlaka za Nidhamu zinazingatia Sheria, Kanuni na Taratibu katika kusimamia masuala yanayohusu Rasilimali Watu pamoja na kushughulikia kwa wakati rufaa na malalamiko
MAADILI YA MSINGI
Tume hutekeleza majukumu yake kwa kuongozwa na maadili yafuatayo:-
- Uadilifu
- Uwazi na Uwajibikaji
- Ubora wa huduma
- Kufanya kazi kwa ushirikiano
- Kujali muda
- Ubunifu