Tume ni Mamlaka kwa Watumishi wa Umma, inatumia Sheria ipi katika kuamua Rufaa ?
Tume ni Mamlaka kwa Watumishi wa Umma, inatumia Sheria ipi katika kuamua Rufaa ?
Kwa mujibu wa Kifungu cha 23 cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 [ Marekebisho ya mwaka 2019 ] kwa kuzingatia wakati wa kushughulikia mashauri ya nidhamu kwa watumishi wa umma. Misingi hiyo ni :-
- Mtumishi mtuhumiwa kupewa Hati ya Mashtaka na Notisi
- Mtumishi mtuhumiwa kupewa fursa ya kusikilizwa na kujitetea
- Kuundwa kwa Kamati ya Uchunguzi wa shauri endapo mtumishi mtuhumiwa atakana kosa.