Wajibu wa Mtumishi anayewasilisha rufaa Tume ya Utumishi wa Umma ni upi?
Wajibu wa Mtumishi anayewasilisha rufaa Tume ya Utumishi wa Umma ni upi?
Wajibu wa Mtumishi ni kujua haki yake ili isipotee pale ambapo anaona hajatendewa haki katika masuala yake ya kiutumishi na kuwasilisha Rufaa yake kwa Mamlaka husika kwa muda uliowekwa Kisheria.
Mtumishi anatakiwa kuwasilisha Rufaa Tume ndani ya muda usiozidi siku 45 tangu alipopokea barua ya uamuzi kutoka katika Mamlaka yake ya Nidhamu. ( Kwa mujibu wa Kanuni ya 61(1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022