Uapisho wa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma
Uapisho wa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma
01 Jul, 2026
Tarehe 1/07/2026, Ilifanyika hafla ya Uapisho wa Katibu wa Tume (KT) Bw. Nolasco Jacob Kipanda katika Ikulu ya Magogoni, Jijini Dar es Salaam