Maeneo gani yanayokaguliwa katika ukaguzi wa Kawaida ?
Maeneo gani yanayokaguliwa katika ukaguzi wa Kawaida ?
Kwa sasa, Tume inakagua maeneo 10 kama ifuatavyo:-
- Ajira Mpya;
- Upandishaji Vyeo;
- Mafunzo na Maendeleo ya Watumishi;
- Likizo (Likizo ya Mwaka na Likizo ya Kustaafu, likizo ya ugonjwa);
- Uzingatiaji wa Maadili na Ushughulikiaji wa Malalamiko katika Utumishi wa Umma;
- Nidhamu (Disciplinary Handling);
- Anuai za Jamii;
- Fidia ya Ajali na Magonjwa Yanayotokana na Kazi na Mafao ya Hitimisho la Ajira;
- Matumizi ya Mfumo wa Usimamizi wa Taarifa za Rasilimali Watu na Mishahara; na
Usimamizi wa Taratibu za Ofisi, Utunzaji wa Kumbukumbu na Nyaraka.