Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Ofisi za Tume zinapatikana wapi ?

Tume ya Utumishi wa Umma ilitekeleza agizo la Serikali kwa kuhamia Dodoma mwezi Septemba,2021 na Ofisi zake zipo jengo la Chimwaga, Chuo kikuu cha Dodoma.