Changamoto zipi Tume inakutana nazo wakati wa Ukaguzi wa Uzingatiaji wa Sheria katika Usimamizi wa Utumishi wa Umma?
Changamoto zipi Tume inakutana nazo wakati wa Ukaguzi wa Uzingatiaji wa Sheria katika Usimamizi wa Utumishi wa Umma?
- Ucheleweshaji wa majalada na nyaraka zinazohitajika kwa ajili ya ukaguzi;
- Uelewa mdogo wa Maafisa wanaopewa jukumu la kufanya kazi na Wakaguzi kwenye baadhi ya Taasisi;
- Vikao vya kuanza na kumaliza ukaguzi kutopewa umuhimu unaostahili na baadhi ya Watendaji Wakuu; na
Kutotekelezwa kwa maelekezo yanayotolewa na Tume yaliyotokana na ukaguzi, Jambo ambalo linasababisha kujirudia kwa mapungufu yanayofanana kwanye kaguzi zinazofuata.