Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Nini kinachosababisha Tume isikague Taasisi zote za Serikali?
  • Uhaba wa Rasilimali Fedha na
  • Uhaba wa Vifaa kama vile Magari na Vitendea kazi.