Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akimuapisha Dkt. Laurent Josephat Ndumbaro kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, tarehe 26 Agosti 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (Hayupo pichani) akimuapisha Bw. Hassan Omari Kitenge kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, tarehe 26 Agosti 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Bi. Salama Aboud Twalib, kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, tarehe 26 Agosti 2025
Watumishi wa Tume wakiwashangilia Makamishna wapya (hawapo pichani) walipowasili Ofisi za Tume - Chimwaga.
Picha ya Kumbukumbu ya Mwenyekiti wa Tume, Makamishna Wapya na Menejimenti ya Tume, katika mapokezi yaliyofanyika tarehe 26/08/2025.
Mapokezi ya Makamishna wateule yaliyofanyika Ofisi za Tume jengo la chimwaga baada ya zoezi la uapisho kukamilika tarehe 26/08/2025.