MAADHIMISHO YA SIKU YA TUME
MAADHIMISHO YA SIKU YA TUME
28 Sep, 2024
10:00AM - 15:45PM
DODOMA
ridhiwani.wema@psc.go.tz
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (Pichani Kushoto) akimkabidhi funguo za Bajaji iliyotolewa na Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) Bw. Enos Ntuso, Mtumishi wa Tume ikiwa ni pamoja na matukio yaliyopamba "Tume day" tarehe 28 Sept, 2024
