Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma-2024-Dodoma
23 Jun, 2024 10.30
Dodoma-Chinangali Park
ridhiwani.wema@psc.go.tz

Maofisa wa Tume ya Tume wa Umma(PSC) wakihudumia Wateja wao waliotembelea Banda la Tume wakati wa Maonesho ya  Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali,jijini Dodoma.

Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma-2024-Dodoma