Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Tangazo la Mnada wa Hadhara

Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma inawatangazia wananchi wote kuwa tarehe 04/04/2024 siku ya Alhamisi itauza vifaa kwa njia ya Mnada wa Hadhara utakaofanyika Dar es Salaam katika Jengo la Ofisi za TEMESA MT-DEPOT zilizopo kurasini karibu na Bohari Kuu ya Serikali (GPSA) kuanzia saa 3:00 asubuhi.

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.