Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais
Tume ya Utumishi wa Umma
Tume ya Utumishi wa Umma inaye Katibu ambaye huteuliwa na Rais. Katibu ndiye Mtendaji Mkuu wa Tume na Afisa Mhasibu.
Kwa mujibu wa majukumu na muundo wa Tume ya Utumishi wa Umma, Tume ina Idara mbili (2) zinazoongozwa na Manaibu Katibu.
· Idara ya Rufaa na Malalamiko
·
Idara ya Viwango na Uzingatiaji wa Usimamizi wa Rasilimali Watu
Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.