Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

BURIANI: ALI HASSAN MWINYI (1925-2024), RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI WA TANZANIA

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC), Mheshimiwa Jaji mstaafu Hamisa Hamis Kalombola amesema kuwa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma imepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa kifo cha Rais wa Awamu ya pili, Hayati Ali Hassan Mwinyi, kilichotokea tarehe 29 Februari 2024 katika Hospitali ya Mzena, jijini Dar-es-Salaam. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.