Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais
Tume ya Utumishi wa Umma
MAKALA YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA, TAREHE 09 DESEMBA 2021: "Katika kipindi hiki Serikali, na Nchi yetu tupo katika Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa lililokuwa taifa la Tanganyika tulioupata tarehe 09 Desemba 1961 na baadae kuzaliwa kwa taifa liitwalo Tanzania. Kauli mbiu ya maadhimisho haya ni “Tanzania Imara, kazi iendelee”. Katika miaka 60 ya Uhuru, Tume ya Utumishi wa Umma ni miongoni mwa vyombo vilivyoanzishwa na Serikali ili kusimamia masuala ya uendeshaji wa Rasilimali watu katika Utumishi wa umma. Tunapoadhimisha Sherehe hizi, kupitia Makala haya tutaangalia hatua ambazo Tume imepiga tangu nchi yetu ilipopata Uhuru, ilipo, mafanikio na inapoelekea.
kuboresha huduma za serikali.pdf
majukumu ya kisheria ya idara ya utumishi wa walimu.pdf
Taratibu za kusajiliwa Mwalimu.pdf
uandishi wa hati ya mashitaka ktk utumishi wa walimu.pdf
usimamizi wa kanuni za maadili ya kazi.pdf
Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.