Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Dira, Dhamiri na Maadili ya Msingi

DIRA YETU

Kuwa mfano wa kuigwa Afrika katika kusimamia utawala bora na kutoa huduma bora katika kusimamia Utumishi wa Umma Tanzania.


DHAMIRI YETU

Kusimamia na kuhakikisha kwamba Watumishi wa Umma, Waajiri, Mamlaka za Ajira na Nidhamu zinazingatia Sheria,   Kanuni  na Taratibu katika kusimamia masuala yanayohusu rasilimali watu pamoja na kushughulikia kwa wakati rufaa na malalamiko yanayowasilishwa Tume.  MAADILI YETU YA MSINGI
  • Ubora wa huduma
  • Kufanya kazi kwa ushirikiano
  • Uaminifu na kutopendelea
  • Uwazi na Uwajibikaji
  • Ubunifu

Taarifa Kwa Vyombo vya Habari

31-05-2022

TAARIFA KWA UMMA

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.