Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais
Tume ya Utumishi wa Umma
Kwa mujibu wa Kifungu cha 9(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (Marejeo ya mwaka 2019) kikisomwa kwa pamoja na Aya Na.14(1) ya Taratibu za Uendeshaji za Utumishi wa Umma za mwaka 2003, Tume ya Utumishi wa Umma inaundwa na Mwenyekiti na Wajumbe 6 ambao huteuliwa na Rais.
Aidha, kwa mujibu wa Kifungu cha 14(1) na (2) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (marejeo ya mwaka 2019). Tume ina Katibu ambaye ndiye Mtendaji Mkuu na huteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.