Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

JAJI MSTAAFU MHE. HAMISA HAMISI KALOMBOLA AMETEULIWA NA MHE. RAIS KUWA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano tarehe 13 Aprili 2022 amemteua Jaji Mstaafu Mhe. Hamisa Hamisi Kalombola kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Kalombola ni Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kwa mujibu wa Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais - Ikulu, uteuzi huu unaanza mara moja. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.