Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Mkutano wa Tume Na. 03/2016/2017

09 - 12 na 15 - 19/5/2017
Tume ya Utumishi wa Umma yafanya Mkutano wa Tume Na. 03/2016/2017. Agenda za Mkutano huo ni kupitia na kutolea maamuzi Rufaa na Malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa Tume na kupitia Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume Robo ya Pili Oktoba hadi Desemba 2016. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.