Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Kikao Kazi cha Tathmini ya Kupitia Mpango Mkakati wa Tume (PSC) kinaanza leo 30/08/2023, Jijini Dodoma

Kikao kazi cha Tathmini ya kupitia Mpango Mkakati wa Tume (PSC) wa mwaka 2021/2022 hadi 2025/2026 kinafanyika jijini Dodoma kuanzia leo 30/08/2023. Washiriki katika Kikao kazi ni Menejimenti ya Tume na wadau,wake. Katibu wa Tume Bw. Mathew M. Kirama anatarajia kufungua kikao kazi hiki kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jijini Dodoma.  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.