Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Mhe. George B. Simbachawene (Mb), Waziri wa Nchi (OR MUUUB) na Mhe. Ridhiwan J. Kikwete (Mb), Naibu Waziri (OR MUUUB) wameitembelea Tume ya Utumishi wa Umma

Mhe. George B. Simbachawene (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR MUUUB) na Mhe. Ridhiwan J. Kikwete (Mb), Naibu Waziri (OR MUUUB) wameitembelea Tume ya Utumishi wa Umma na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Tume. Katika Kikao hiki Bw. Mathew M. Kirama, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma aliwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume kwa kipindi cha kuanzia tarehe 01 Julai 2022 hadi mwezi Aprili 2023. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.