Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Tume ya Utumishi wa Umma imeshiriki Bonanza la Uzinduzi wa SHIMIWI

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew M. Kirama, amewaongoza Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma kushiriki katika Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya SHIMIWI lililoandaliwa na Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali, lililofanyika leo tarehe 20 Agosti 2022 kuanzia Viwanja vya Bunge  hadi Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma. Mgeni Rasmi alikuwa ni Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga, Katibu Mkuu Kiongozi. Kauli Mbiu: "Michezo ni Afya kwa Maendeleo ya Taifa: Jiandae Kuhesabiwa tarehe 23 Agosti 2022" 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.