Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Mkutano wa Tume ya Utumishi wa Umma Na.02 kwa mwaka 2021/ 2022 umeanza leo jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji (Mstaafu) Mheshimiwa Hamisa Hamis Kalombola ameongoza Mkutano wa Tume Na. 02 kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 unaofanyika kuanzia leo  tarehe 20 Juni 2022 hadi tarehe 08 Julai 2022, Jijini Dodoma. Kwa mujibu wa Kifungu cha 10(1)(d) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Sura 298 [Marejeo ya mwaka 2019] Tume ya Utumishi wa Umma ina jukumu la kupokea na kushughulikia Rufaa za mashauri yaliyotolewa maamuzi na Mamlaka za Nidhamu. 

Taarifa Kwa Vyombo vya Habari

31-05-2022

TAARIFA KWA UMMA

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.