Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais
Tume ya Utumishi wa Umma
Jaji Mstaafu Mhe. Hamisa Hamisi Kalombola, leo tarehe 13 Aprili 2022 ameteuliwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma. Katibu wa Tume, Menejimenti na Wafanyakazi wa Tume, tunampongeza kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Mheshimiwa Rais na tunaahidi ushirikiano, HONGERA.
JAJI MSTAAFU MHE. HAMISA HAMISI KALOMBOLA AMETEULIWA NA MHE. RAIS KUWA MWENYEKITI WA TUME
Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.