Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

MKUTANO WA MKUTANO WA TUME NA.4 KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 UMEHITIMISHWA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mheshimiwa Jaji (Mstaafu) Dkt. Steven J. Bwana tarehe 02 Julai 2021 amehitimisha Mkutano wa Tume uliofanyika Jijini Dar es Salaam ambapo jumla ya Rufaa 107 na Malalamiko 08 yaliyowasilishwa na watumishi wa umma ambao hawakuridhika na uamuzi uliotolewa na Mamlaka zao za Ajira na Mamlaka za Nidhamu yatatolewa uamuzi na Tume.    

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.