Mkutano wa Nne wa Tume(PSC) wa mwaka 2023/2024-Mwanza.
Mkutano wa Nne wa Tume(PSC) wa mwaka 2023/2024-Mwanza.
18 Jul, 2024

Mkutano wa Nne wa Tume(PSC) wa mwaka 2023/2024 umefanyika jijini Mwanza katika Ukumbi wa BOT' kupitia na kujadili Rufaa na
Malalamiko ya Watumishi wa Umma na Mamlaka zao za nidhamu kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
Kikao hicho kilifanyika kuanzia tarehe 27/05/2024 hadi 14/06/2024,chini ya Mwenyekiti wake Jaji Mst.Hamisa Kalombola,Makamishna na Sekretarieti yake.