Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma (PO PSC) tunaungana na Watanzania wote katika kuomboleza msiba mzito wa Taifa wa mpendwa wetu Rais Mstaafu wa Awamu ya T atu, Mhe. Benjamin William Mkapa, kilichotokea usiku wa kuamkia siku ya Ijumaa, tarehe 24 Julai, 2020.

Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu, Benjamin William Mkapa mahali pema peponi.

TUTAKUKUMBUKA DAIMA

1938-2020

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.