Tofauti ya Ukaguzi unaofanywa na Tume na ule unaofanywa na Taasisi zingine
Tofauti ya Ukaguzi unaofanywa na Tume na ule unaofanywa na Taasisi zingine
Tume inafanya ukaguzi wa Uzingatiaji wa Sheria, Kanuni na Taratibu katika Usimamizi wa Utumishi wa Umma (Compliance Audit) kwa kuangalia uzingatiaji wa Sheria, Kanuni na Taratibu katika michakato (process) ya masuala hayo wakati Taasisi nyingine hufanya Ukaguzi kwa kuangalia matukio tu