Rufaa zilizoamuliwa katika Mikutano ya mwaka 2023/24 zilihusu masuala gani?
Rufaa zilizoamuliwa katika Mikutano ya mwaka 2023/24 zilihusu masuala gani?
- Rufaa zilizoamuliwa mwaka 2023/24 ni 480. Baadhi ya rufaa hizo zilihusu Wizi, Kushindwa kutekeleza majukumu ipasavyo.
Utoro Kazini, Kughushi Cheti, Udanganyifu, Rushwa, Kughushi Nyaraka, Kukosa Uaminifu, Uzembe, Ulevi