Nini Wajibu wa Mtumishi anayewasilisha rufaa Tume ya Utumishi wa Umma?
Nini Wajibu wa Mtumishi anayewasilisha rufaa Tume ya Utumishi wa Umma?
- Wajibu wa Mtumishi ni kujua haki yake ili isipotee na kuzingatia muda wa kuwasilisha rufaa yake ndani ya muda usiozidi siku 45 kuanzia siku alipopokea barua ya uamuzi kutoka katika Mamlaka ya Nidhamu (Kanuni ya 61(1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022).
Malalamiko pia yana muda maalum wa kuwasilishwa Tume kwa mujibu wa Kanuni Q. 19 ya Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma za mwaka 2009. Lalamiko linatakiwa liwasilishwe ndani ya kipindi cha mwaka mmoja