Mkutano wa Nne wa Tume(PSC) wa mwaka 2023/2024-Mwanza.
Mkutano wa Nne wa Tume(PSC) wa mwaka 2023/2024-Mwanza.
07 Jun, 2024
11:30
Mwanza-BOT Hall
ridhiwani.wema@psc.go.tz
Mkutano wa Nne kwa mwaka 2023/2024 wa Tume ya Utumishi wa Umma umefanyika Jijini Mwanza katika Ukumbi wa BOT kuanzia tarehe 27/05/2024 hadi 14/06/2024.
Kikao kimesikiliza na kupokea Rufaa na Malalamiko kutoka kwa Watumishi wa Umma na Mamlaka zao za Ajira.
