Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma-2024-Dodoma
21 Jun, 2024 11:30
Dodoma-Chinangali Park
ridhiwani.wema@psc.go.tz

Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora,Bw.Juma.S.Mkomi akizungumza na Maofisa wa Tume ya Utumishi wa Umma(PSC)katika banda lao, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Chinangali,jijini Dodoma.

Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma-2024-Dodoma