Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA KWA KIPINDI CHA OKTOBA-DISEMBA, 2020 IMEWASILISHWA MBELE YA TUME LEO 16/04/2021

Taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma kwa kipindi cha Robo ya Pili ya mwaka wa fedha 2020/2021 - Oktoba hadi Disemba 2020 imewasilishwa mbele ya Tume leo tarehe 16/04/2021 katika Mkutano unaoendelea kufanyika Jijini, Dar es Salaam. Taarifa hii imewasilisha utekelezaji wa majukumu ya Tume yaliyofanyika katika kipindi hicho. Majukumu hayo ni pamoja na kushughulikia rufaa na malalamiko; kufanya ukaguzi wa uzingatiaji wa masuala ya Rasilimali Watu; kutoa elimu kwa wadau juu ya uzingatiaji wa masuala ya Rasilimali Watu; kufuatilia na kuchambua taarifa za kiutumishi kutoka kwa Waajiri, Mamlaka za Ajira na Mamlaka za Nidhamu ili kuona namna masuala ya Rasilimali Watu yanavyotekelezwa. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.