Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Siku ya Wanawake Duniani

Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Wanawake kwa mwaka huu, Serikali ya Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dk. John P.J.Magufuli na Serikali ya Awamu ya Nane ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inayoongozwa na Rais Dk. Hussein A. Mwinyi, zimejipambanua kutambua na kuthamini nafasi, mchango na kuwapa nafasi Wanawake kwenye maeneo mbalimbali zikiwamo za Uongozi Serikalini. (Chanzo Gazeti la Uhuru , 08 Machi, 2021). 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.