Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

MKUTANO WA TUME KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZIA TAREHE 30 NOVEMBA 2020

MKUTANO:- Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mheshimiwa  Jaji (mst.) Dkt. Steven J. Bwana ataongoza Mkutano wa Pili wa Tume kwa mwaka wa fedha 2020/2021 utakaofanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia siku ya Jumatatu tarehe 30 Novemba 2020 hadi tarehe 18 Disemba 2020. Katika  Mkutano huu, Tume itapokea na kutolea uamuzi Rufaa 149 na lalamiko moja (01).  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.