Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

MUHOJI: AZINDUA KAMATI TENDAJI YA TEHAMA “ICT STEERING COMMITTEE” YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA.

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Nyakimura Muhoji amezindua Kamati Tendaji ya TEHAMA “ICT Steering Committee” ya Tume na kuiagiza itekeleze majukumu yake ipasavyo.


Kamati Tendaji ya TEHAMA ya Tume ya Utumishi wa Umma inaongozwa na Mwenyekiti ambae ni Bw. Nyakimura M. Muhoji (Katibu wa Tume); Katibu ni Bw. Sylvester T. Koko (Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA); na Wajumbe wa Kamati ni:- Bw. John C. Mbisso (Naibu Katibu); Bw. Maurice M. Ngaka (Mhasibu Mkuu); Bw. Baraka Kipigapasi (Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani); Bw. Ernest Mbago (Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi) na Bw. Musa P. Magunguli (Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini).


Kwa upande wa Sekretarieti ya Kamati ni Bw. Alex A. Mero na Bw. Justine L. Jackson (Kitengo cha TEHAMA).

(Habari zaidi soma, habari mpya….)  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.