Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Rufaa na Malalamiko ya Watumishi wa Umma yaliyowasilishwa Tume kutolewa Uamuzi.

Mkutano wa Tume namba 02 kwa mwaka wa fedha 2019/20 unafanyika jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 04-15 Novemba, 2019  ambapo rufaa na malalamiko mbalimbali ya watumishi wa umma wanaopinga uamuzi uliotolewa na Mamlaka zao za Ajira na Mamlaka za Nidhamu yatawasilishwa na kutolewa uamuzi. Vile vile, Taarifa mbalimbali zinazohusu uendeshaji wa masuala ya Rasilimali watu katika Taasisi za Umma zitawasilishwa.  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.