Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika azungumza na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika amefanya ziara katika Tume ya Utumishi wa Umma na kufanya kikao na Makamishna na watumishi wa Tume. Katika kikao hicho, Waziri Mkuchika ameitaka Tume kuongeza bidii na kasi katika utekelezaji wa majukumu yake ya kisheria hususani katika ushughulikiaji wa rufaa na malalamiko yanayowasilishwa na watumishi wa Umma ili waweze kupata haki zao stahiki kwa wakati. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.