Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) afanya ziara katika Tume ya Utumishi wa Umma

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) afanya ziara katika Tume ya Utumishi wa Umma. Katika ziara hiyo, Dkt. Mwanjelwa alifanya kikao na watumishi wote wa Tume na kuwahimiza kufanya kazi kwa bidii, weledi, uzalendo na kuzingatia maadili ya utendaji kazi katika Utumishi wa Umma.  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.