Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu

10/12/2018
Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. Aliyekuwa Mgeni Rasmi katika kilele hicho ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb). 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.