Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Mkutano wa Tume Na. 01 wa mwaka 2017/2018

17 hadi 27/7/2017
Tume ya Utumishi wa Umma yafanya Mkutano Na. 01 wa mwaka 2017/2018. Agenda za mkutano huo ni kupitia na kutolea maamuzi Rufaa na Malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa mbele ya Tume; Kupitia Taarifa za Ukaguzi wa uzingatiaji wa Sheria katika usimamizi wa rasilimali watu katika Taasisi za Umma 42 na kupitia Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma kwa robo ya tatu (Januari hadi Machi 2017). 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.