Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 16 hadi 23, 2017

16 - 23/6/2017
Tume ya Utumishi wa Umma yaadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kutenga siku 3 mahususi za kutoa huduma kwa wadau wake. Siku hizo ni Ijumaa tarehe 16, Jumatatu tarehe 20 na Jumanne tarehe 21.  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.