Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais
Tume ya Utumishi wa Umma
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji mst. mheshimiwa Hamisa H.
Kalombola pamoja na Makamishna wa Tume wamefanya ziara kutembelea mradi
wa ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma linalojengwa
katika mji wa Serikali Mtumba, Dodoma kuangalia hatua iliyofikiwa. Jengo
la Tume linajengwa na mkandarasi Kampuni ya CRJE na mradi unaotarajia
kukamilika mwezi Septemba 2024.
Rufaa na Malalamiko 342 yametolewa uamuzi na Tume ya Utumishi wa Umma katika Mkutano wa Ta
Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.