Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais
Tume ya Utumishi wa Umma
Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa Tume ya Utumishi wa Umma umeandaliwa na umeanza kutumika. Mkataba unaonesha namna Tume itakavyo wajibika moja kwa moja kwa wateja wake. Aidha, ni njia bora ya kuibua na kushughulikia malalamiko na taarifa nyingine za wateja kuhusu viwango vya huduma inayotolewa.
Kupitia Mkataba huu, Tume itajipima mara kwa mara na kufuatilia utendaji wake ili kuboresha huduma zake kwa Umma.
Rufaa na Malalamiko 342 yametolewa uamuzi na Tume ya Utumishi wa Umma katika Mkutano wa Ta
Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.