Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais
Tume ya Utumishi wa Umma
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji (mst.) Mhe. Hamisa H. Kalombola, Makamishna na Sekretarieti ya Tume ya Utumishi wa Umma wamekutana na Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar, Mhe. Khadija A. Omary, Katibu na baadhi ya watumishi wanaofanya ziara ya kuitembelea Tume ya Utumishi wa Umma, Jijini Dodoma kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kujifunza masuala ya uendeshaji na usimamizi wa rasilimali watu katika utumishi wa umma.
Rufaa na Malalamiko 342 yametolewa uamuzi na Tume ya Utumishi wa Umma katika Mkutano wa Ta
Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.